Cover Image of Download MuviMax - Muvi Zilizotafsiriwa  APK

0/5 - votes

ID: muvi.maxtz

  • Author:

  • Version:

    Varies with device

  • Update on:

Download APK now

The description of MuviMax - Muvi Zilizotafsiriwa


Programu hii ni mahususi kwa wapenzi wa muvi zilizotafsiriwa. Hapa utaweza kutazama muvi mbali mbali kutoka mwa ma-DJ maarufu kama vile DJ Afro, DJ Mack, DJ Muphy n.k
Muvi za kijapan n.k

Vilevile tumekuandalia muvi kulingana na mahitaji ya mtazamaji. Hapa utaweza kutazama muvi za kila aina kama vile:
Muvi za kivita
Muvi za kijajusi
Muvi za kung fu
Muvi za kisayansi
Muvi za vichekesho
Muvi za kutisha
Muvi za Kituruki
Season n.k

Programu hii ni bure, hivyo utaweza kutazama muvi zote bila malipo yoyote isipokuwa ni matumizi yako ya intaneti tu mabayo yatakulazimu kuzingatia.
Mbali na kutazama muvi uipendayo pia utaweza kupakuwa (download) muvi hiyo.

KANUSHO:
Hatutunzi video zozote kwenye seva zetu. Baali video zorte zinakusanywa kutoka YouTube.
Hatuna haki miliki zozote za filamu zilizopo kwenye programu hii.
Maudhui yote yaliyotolewa katika programu hii yanapatikana bila malipo yoyote.
Hatumiliki hakimiliki za nyimbo wala picha zilizotumika katika programu hii.

Iwapo wewe ni mmiliki wa maudhui yoyote yaliyotumika katika programu hii na unahitaji ziondolewe basi usisite kuwasiliana nasi, na sisi tutaziondoa ndani ya masaa 48.
Show more

MuviMax - Muvi Zilizotafsiriwa Varies with device APK for Android Varies with device+

Version Varies with device for Android Varies with device+
Update on 2023-01-24
Installs 1++
File size 13.360.440 bytes
Permissions view permissions
What's new Season
Muvi za aina zote

Hit APK
Show more