Cover Image of Download Neno la Leo & Tafakari ya Leo 1.01 APK

4.8/5 - 16 votes

ID: com.neno.la.leo

Download APK now

The description of Neno la Leo & Tafakari ya Leo


Kila siku mwenyezi mungu kupitia maandiko yake matakatifu anatukumbusha na kutufundisha kitu kipya, hivyo basi mpendwa katika Kristo unapaswa kujikumbusha na kusoma neno la mungu kila siku, Neno la leo & Tafakari ya Leo ni aplikesheni itakayokufaa katika kuliishi neno na kumfuata kristo Yesu. Kupitia aplikesheni hii utakuwa unapokea ujumbe mfupi kila siku kuhusiana na neno pamoja na tafakari yake ya siku husika. Pia utaweza kuyasoma maneno yaliyopita pasipo kuwa na kifurushi cha internet. Kumbuka kumpenda Jirani yako kwa kumsambazia naye aplikesheni hii ili aweze kubarikiwa.
Show more

Neno la Leo & Tafakari ya Leo 1.01 APK for Android 4.2+

Version 1.01 for Android 4.2+
Update on 2019-02-07
Installs 5.000++
File size 15.623.407 bytes
Permissions view permissions
What's new - Upgraded to the latest android version
- Fixed notifications issues
- Fixed bugs

Versions history:

Show more
Hit APK
Show more