Cover Image of Unduh Neno la Leo & Tafakari ya Leo 1.01 APK

4.8/5 - 16 suara

ID: com.neno.la.leo

Unduh APK sekarang

Deskripsi dari Neno la Leo & Tafakari ya Leo


Kila siku mwenyezi mungu kupitia maandiko yake matakatifu anatukumbusha na kutufundisha kitu kipya, hivyo basi mpendwa katika Kristo unapaswa kujikumbusha na kusoma neno la mungu kila siku, Neno la leo & Tafakari ya Leo ni aplikesheni itakayokufaa katika kuliishi neno na kumfuata kristo Yesu. Kupitia aplikesheni hii utakuwa unapokea ujumbe mfupi kila siku kuhusiana na neno pamoja na tafakari yake ya siku husika. Pia utaweza kuyasoma maneno yaliyopita pasipo kuwa na kifurushi cha internet. Kumbuka kumpenda Jirani yako kwa kumsambazia naye aplikesheni hii ili aweze kubarikiwa.
Menampilkan lebih banyak

Neno la Leo & Tafakari ya Leo 1.01 APK untuk Android 4.2+

Versi: kapan 1.01 untuk Android 4.2+
Perbarui pada 2019-02-07
Menginstal 5.000++
Ukuran file 15.623.407 bytes
Izin izin lihat
Apa yang baru - Upgraded to the latest android version
- Fixed notifications issues
- Fixed bugs

Riwayat versi:

Menampilkan lebih banyak
Tekan APK
Menampilkan lebih banyak