Cover Image of Baixar VitukoTV 1.0 APK

0/5 - votos

ID: com.videos.vitukotv

  • Autor:

  • Versão:

    1.0

  • Atualização em:

Baixe o APK agora

A descrição de VitukoTV


VitukoTV ni App yenye Video kibao za kuchekesha Kufurahisha!
Karibu uvunjike mbavu na Video za kuchekesha

Vituko TV ni app iliyosheheni vimbwanga mbali mbali vya uswazi,Kuanzia Video za Kuchekesha,Sms za kuchekesha na picha za kuchekesha
Vichekesho kuhusu bongo fleva , mapenzi pia vipo vingi sana.

Ukiwa na App ya Vituko TV utegemee nini??
------------------------------------------------------
Ukiwa na app yetu ya Vituko Tv tegemea Kudownload video za vichekesho zinazowekwa kila baada ya lisaa limoja,manake zaidi ya video za kuchekesha 20 kila siku pamoja na sms za kuchekesha bila kusahau picha za vituko

Vituko Tv tumejipanga kukupa burudani na video hizi sio tu kwamba tunatoa kwa wachekeshaji hapana pia kutoka kwa wasanii wakubwa kama Kundi la wasafi WCB likiongozwa na diamond platnumz ,Rayvanny,harmonize,queen darling ,Alikiba , Wema sepetu,Idriss sultan,vanesaa mdee,wolper stylish,Mange kimambi etc wapo wengi

Ukiwa na Vituko TV unaweza Kudownload video na kushare na marafiki kupitia mitandao ya kijamii kama vile WhatsApp ,Facebook, Instagram etc!!
Pata burudani muda wote ukiwa na app va vituko TV sasa

Disclaimer : Contents on VitukoTV are Just sharing from public resources available on Internet! VitukoTv does not own anything! For any Remove Please email me [email protected]
Mostre mais

VitukoTV 1.0 APK para Android 5.0+

Versão 1.0 para Android 5.0+
Atualização em 2019-10-06
Instalações 5++
Tamanho do arquivo 7.890.869 bytes
Permissões ver permissões
O que há de novo

Hit APK
Mostre mais