Cover Image of Tải xuống Ajira Tanzania - Ajira mpya kila siku 1.1 APK

4.4/5 - 14 vote

ID: com.dhck.ajiratanzania

Tải file APK ngay

Mô tả của Ajira Tanzania - Ajira mpya kila siku


Pata Uhakika Wa Ajira Kwa kuwa wa kwanza kupata taarifa za matangazo ya kazi punde tu waajiri wanapotoa Tangazo la kazi.

✔Ajira Tanzania Inakupatia nafasi za ajira zinazotangazwa na mashirika ya umma,
Sekretarieti ya Ajira, Ajira Portal & Serikali kuu, Halmshauri etc

✔ Ajira Tanzania Inakupatia matangazo ya ajira za makampuni mbalimbali ikiwemo taasisi za fedha kama NMB CRDB NBC TIGO VODACOM Sekretarieti ya Ajira DSTV STAR TIMES MIGODI SERIKALI N.k

✔ Ajira Tanzania Inakuwezesha kupata taarifa za ajira mpya, nafasi za kazi sehemu mbalimbali Tanzania kupitia simu yako punde tu Tangazo au kazi inapowekwa mtandaoni

✔ Ajira Tanzania App pekee itakayokupatia makala mbalimbali ikiwemo habari ikiwemo siasa, michezo kama za club maarufu Simba Yanga Ligi kuu ya Vodacom n.k ili kukuwezesha kufurahia tu breaking news and events.

✔ Ajira Tanzania Ni sehemu sahii kwa anayetafuta ajira, nafasi za kazi au anahitaji kubadili ajira yake na lakini pia ni sehemu itakayopatia mambo mengi yenye faida kwako na jamii kwa ujumla

Ajira Tanzania Download & Share With Others.

Sholarships Mbalimbali
Nafasi za Kazi
Mabumbe
Ajiraleo
Ajira Yako
Ajira Zetu
Ajira Leo Tanzania App
Tanzania Jobs
Jobs in Tanzania
Xem thêm

Ajira Tanzania - Ajira mpya kila siku 1.1 APK cho Android 4.4+

Phiên bản 1.1 cho Android 4.4+
Cập nhật 2021-10-02
Lượt tải 5.000++
Kích thước tập tin 7.244.860 bytes
Quyền xem các quyền
Cập nhật mới Minor improvements

Phiên bản cũ hơn:

Xem thêm
Được yêu thích
Xem thêm